Ukurasa huu utakuwa tayari hivi karibuni...
Kama umewahi kuona moja kati ya filam za kitanzania na ukagundua baadhi ya makosa ambayo yamefanyika ndani ya filam hiyo tafadhali usisite kututumia jina la filamu hiyo, sehemu yenye makosa... sisi tutaiweka hewani kupitia www.timamueffects.blogspot.com
karibu sana!!!!
Hizi ni baadhi ya filamu ambazo zilichambuliwa na kugundulika kuwa na makosa ya wazi kabisa